HABARI ZA GHAFLA: ROMA MKATOLIKI APATA AJALI MBAYA YA GARI
habari za haraka haraka ni kwamba roma alikuwa anaelekea morogoro na rafiki zake,ghafla gari yake ikagongana na fuso uso kwa uso.akizungumza na dj choka mda huu roma anaelekea hospital kwa check up ila hamna mtu yoyote kwenye gari aliumia ni mshituko tu wa kawaida kwa ajali ikitokea.
picha tofati za matukio ya ajali ya roma: