Saturday, August 4, 2012

 HABARI ZA GHAFLA: ROMA MKATOLIKI APATA AJALI MBAYA YA GARI









habari za haraka haraka ni kwamba roma alikuwa anaelekea  morogoro na rafiki zake,ghafla gari yake ikagongana na fuso uso kwa uso.akizungumza na dj choka mda huu roma anaelekea hospital kwa check up  ila  hamna  mtu yoyote kwenye gari aliumia ni mshituko tu wa kawaida kwa ajali ikitokea.

picha tofati za matukio ya ajali ya roma:




No comments:

Post a Comment