Monday, July 30, 2012
Sunday, July 29, 2012
HUYU NDIYE MSHIRIKI WA BIG BROTHER ALIYETOLEWA KWENYE JUMBA LA
BIG BROTHER AFRICA JULY 29
Mrembo Jannette wa Uganda
amekua mshiriki wa nane kutolewa kwenye Big Brother House upande wa
Upville baada ya kuwekwa kwenye eviction kwa mara ya kwanza ndani ya
star game.
jannete, Lady May, Prezzo na Kyle ndio waliokua kwenye hatari ya kutoka weekend hii ambapo Kyle ndio Mganda pekee aliebaki.
Katika kura zote zilizopigwa
kwa washiriki, Kyle wa Uganda ameongoza kwa kupigiwa kura 6, akafata
Lady May wa Namibia akafata kwa kura 4, Prezzo wa Kenya pia kwa kura 4
na Jannette alipata kura 1, ukitaka kufahamu nchi zilizowapigia kura
zichek hapo chini.
nchi za kenya,tanzania na liberia ndio wanaongoza kwa kumpigia kura prezzo
katt william |
KATT WILLIAM'S FUNNY TWEETS
Dear girls who take a pic in slutty clothing & glasses & label the caption "nerddd lol" You're not a nerd; you're a whore who found glasses
Calm down bitch, if your heart was really broken, you'd be dead
Once I put on my headphones, my life becomes a music video.
10-year-old girls crying because they broke up with their boyfriends. When I was 10, I cried when I missed the morning cartoons.
Seeing someone your friend hates and saying, "There's your best friend"
If it wasn't for Twitter, we'd all be on Facebook refreshing our pages every 5 minutes, wishing for new notifications.
BEFORE SEX; you help each other get naked. AFTER SEX; you only dress yourself. Moral of the story, in life, no one helps you once ur f*cked
That gangsta feeling when you rap your favorite song without messing up.
Women spend an average of 3 yrs of their life time looking at themselves in the mirror.
Cop: Have you had any drugs tonight? Driver: No! You keep busting all my dealers!
Saturday, July 28, 2012
CINDY RULZ:BONGO FEMALE RAPPER AMBAE ANAEKIMBIZA KWA TZ
cindy rulz ni simple gal ambae ana njozi kubwa za kuwa one of the biggest female rapper "rapper wa kike" ndani na nje ya nchi ya tanzania.
safari yake ya music alianza mwaka 2010 akiwa kama back ground vocalist ,then akakutana na producer wa G-record KGT ambae aligundua kipaji cha msanii huyu na alimzawadia kufanya kazi chini yake akiwa kama RnB singer.
Akiwa na KGT alifanikiwa ku record nyimbo ya NAKUZIMIA lakini haikuwa released nyimbo hiyo.cindy akaona haitoshi kuishia hapo kwa sababu alihisi haikuwa ndoto yake kuishia pale,ndipo akakutana na producer "lotty pro" ambae aliyegundua kama cindy anakipaji kilichojificha cha Rap music.
Tangu hapo Cindy rulz anajulikana kama one of the "bongo female rappers" ,na anafanya kazi na producer lamar chini ya fishCrab Management.
cindy ametoa nyimbo kama:
- Number 1
- party time
- house party ft king zilla
- unstopable
- haterz going down
- your love
- next chapter
Radio feats A.V..I.D .
Unaweza kizisikiliza na kuzi download kupitia http://www.reverbnation.com/artist/artist_songs/1167957
Jina :Corrinne Mary Wamwami
nick name : cindy rulz
Birthdate : jully 1992
Elimu : shree-hindu mandal sec school (primary and sec)
advavce level shaaban robert
Sounds Like : Nicki Minaj., Kanye West Rocks
Label : Fish Crab Audio Station
Manager : Lamar Niekamp
cindy akionesha mautundu kwenye u dj |
moja ya video mpya ya cindy rulz RADIO |
Friday, July 27, 2012
NEMBO YA AFRICANSON TOUR |
AFRICANSON WAPANIA KU PROMOTE UTALII WA NDANI TANZANIA
C.E.O wa kampuni ya kujitolea ya africanson tanzania Hamisi wahabi amesema sasa kampuni ina mpango wa kuwahamasisha watanzania juu ya utalii wa ndani "Local tourism"
africanson ni kampuni ya vijana wajasiriamali wa kitanzania wameona kwanza kuiendesha kampuni yao bila profit "non profit company" ili mradi kutangaza utalii wa ndani hapa tanzania. akizungumza na DYDX C.E.O wa kampuni hiyo alisema "kampuni yangu ya africanson nimeianzisha
kuhamasisha watanzania juu ya kutembelea mbuga zetu za tanzania ,ila tunahitaji tu support ya serikali ambayo imekuwa ikiwa inachelewesha kibali cha sisi kuchukua jukumu hilo nchi nzima " akaendelea "tumeshafanya tour za kitalii na nashukuru mungu baadhi ya watu wamezipokea tour zetu ,tumefanikiwa kutembelea NGORONGORO ,MANYARA,MATERUNI WATER FALL, TARANGIRE ,ARUSHA SNAKE PARK ,TINGATINGA ART"
C.E.O wa africanson tour akiwa kwenye moja ya tour TARANGIRE NATIONAL PARK |
timu nzima ya africanson wakiwa sehemu za kufanya tafiti za tour zao hapa ni chemka "maji moto " moshi tanzania mbele ni first lady flora eugene, |
MASANJA AKIWA NA HAMISI "KIMARIO"MWINJUMA |
ALICHOKIANDIKA MASANJA KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER..
dereva aliyeua watu 25 kwa ajali.
Traffic: ilikuaje?.
Dereva: nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto,na mtu mmoja kulia, na sina breki. wewe afande ungefanyaje?
Trafic.. Ningemgonga yule 1
Dereva..
Ndicho nilichofanya ila huyo mmoja alivuka na kujichanganya na watu wengi akafikiri mimi chizi sijamuona nikamfuata kulekule.
Thursday, July 26, 2012
KEVIN HART'S FUNNY TWEETS
Before sex, you help each other get naked. After sex, you only dress yourself. Moral of the story: No one helps you once you're fucked.
In kindergarden, anyone who had the 64 color pack with the sharpener ran that muthafucking classroom!
When a girl says "suck my dick" , everyone laughs. But if Be crazy, be weird, don't be afraid of what anybody else thinksa guy says "eat my pussy" .....shit gets awkward!
When fat hoes are calling themselves hot, but the only thing they can turn on is the microwave.
Live like Spongebob, laugh out loud all day without any reason, and annoy the mean people with your happiness.
That annoying ass moment when someone interrupts you while you're telling a story. Bitch, did you not see me speaking?
MKUU WA POLISI UGANDA ATOA AMRI YA PASPORT YA DR JOSE CHAMELEONE IRUDISHWE HARAKA
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Uganda, IGP, Kale Kayihura amewaagiza maofisa wa Tanzania kuirudisha haraka passport ya Jose Chameleone.
Kayihura ametoa amri hiyo alipokutana na Chameleon kwenye kituo cha polisi cha Muyenga mchana wa leo jijini Kampala.
Amesema maafisa wa hapa nchini wamesema passport ya msanii huyo ingewasili baadaye leo na kukabidhiwa kwake mara moja.
Leo Jose Chameleone akiwa na mashabiki wake wameandamana kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kudai arudishiwe passport hiyo iliyokuwa ikishikiliwa na Erick Shigongo kwa madai kuwa meneja wake amemtapeli dola 3500.
Mariah Carey IS The New Judge On American Idol!
It isn't just a fantasy anymore: now it's all for real! Super pop diva Mariah Carey has just officially signed on as an American Idol judge for the show's upcoming 12th season. "I'm so excited to be joining Idol", Mariah told just seconds after the news was shared with. "I wish I could have been there myself to tell you. I can't wait to get started in a couple of months
Thursday, July 19, 2012
Jennifer Lopez On Stage- Looking Like Such A Goddess!
JLo
Jennifer Lopez was looking gorgeous as always when she performed on stage with singer Enrique Iglesias. Her show looks really cool, and we'd love to go se her live! Such a beautiful and multi-talanted woman!
Wednesday, July 18, 2012
Exclusives...!
Emergency! Halle Berry Rushed To Hospital!
Halle injured her ankle in Spain this Febuary
Danger at work! Halle Berry was rushed to the hospital
Tuesday night after suffering an injury on the set of her
latest movie 'The Hive'. Sourses say that Halle fell and hit
her head on concrete. Due to the risk of serious injury, the
film crew rang and ambulace which picked Halle up at the
set and drove her straight to the Cedars Sinai Medical
Center in L.A
Tuesday, July 17, 2012
SUMMER!
yeyooo!
what a gwan there?
IF YOU READY FOR THE SUMMER
LET'S GO!
Listen to Beenie Man's song here here!! Have a nice tuesday!
what a gwan there?
IF YOU READY FOR THE SUMMER
LET'S GO!
Listen to Beenie Man's song here here!! Have a nice tuesday!
Monday, July 16, 2012
Adam Levine HATES Chris Brown
Which side are you on?
Chris Brown
Adam Levine
Adam Levine from Maroon 5 recently stated that he hates Chris Brown. And the reason why? He adores women so much that he can't stand how a certain R&B star doesn't treat them right. "Adam hates Chris Brown", the source reveals, "And he has no problem telling people that". His anti-feelings for Chris are even so strong that they're in fact affecting his work as a judge on The Voice.
During one audition a contestant sang a Chris Brown song, which Adam didn't approve of: "Adam flat-out told the guy that he would have chosen him if he didn't sung a Chris Brown song", an insider says. "He said some people might be over what Chris did, but he isn't and never will be". I think it's great that Adam stands up for women, but he shouldn't turn down a great singer just because of a song originally sung by someone he dislikes...
Sunday, July 15, 2012
We Are Family....
HEY HEY!
Thursday, July 12, 2012
Kim Kardashian And Beyonce....
Kim K Buys Blue Ivy A $5K Bracelet!
BFF??
Kim became friends with Beyonce and Jay-Z through her boyfriend, Kanye West.
Kim Kardashian is really working this Beyonce friendship to its core! She is going all out and even bought Beyonce's daughter, Blue Ivy, a $5,000 on a diamond studded bracelet which she had engraved with "Love Auntie Kim." Say what?
Tuesday, July 10, 2012
Monday, July 9, 2012
Usher's Stepson Delcared Brain Dead....
Usher And Tameka.
It must be hard for them right now...
Happier times....
This is a sad day for singer, Usher, and his estranged wife, Tameka Foster. Usher's stepson (Tameka's son) was declared brain dead by doctors after being involved in a jet skiing accident. Kyle Glover, 11, was riding on an inner tube at Lake Lanier in Atlanta, Georgia, when he was struck in the head by a jet ski. The child was immediately rushed to the hospital, but has not experienced any brain activity since the accident. No decision has been made if they will keep him on life support. Both Usher and Tameka continue to be by Kyle's side.
Happy Birthday
Its Late But I still want to wish you HAPPY BIRTHDAY
YOU ARE SO SPECIAL IN EVERY SINGLE WAY.....
YOU ARE SO SPECIAL IN EVERY SINGLE WAY.....
I hope you enjoyed your birthday honey, wishes from.....
HaPpY BiRtHdAy
BARAKIAS
HaPpY BiRtHdAy
BARAKIAS
Kourtney Kardashian
Kourtney Kardashian
And Scott Disick Are parents Again
I'm sure Mason is excited about his little sister....
Kourtney Kardashian finally gave birth to a sweet baby girl
Her name is Penelope Scotland Disick
Such a cute Angel
Kourtney Kardashian finally gave birth to a sweet baby girl
Her name is Penelope Scotland Disick
Such a cute Angel
Subscribe to:
Posts (Atom)