Saturday, July 28, 2012

CINDY RULZ:BONGO FEMALE RAPPER AMBAE ANAEKIMBIZA KWA TZ

 

 

 

cindy rulz ni simple gal ambae ana njozi kubwa za kuwa one of the biggest female rapper "rapper wa kike" ndani na nje ya nchi ya tanzania.
safari yake ya music alianza mwaka 2010 akiwa kama back ground vocalist ,then akakutana na producer wa G-record KGT ambae aligundua kipaji cha msanii  huyu na alimzawadia  kufanya kazi chini yake akiwa kama  RnB singer.


Akiwa na KGT alifanikiwa ku record nyimbo ya NAKUZIMIA lakini haikuwa released nyimbo hiyo.cindy akaona haitoshi kuishia hapo kwa sababu alihisi haikuwa ndoto yake kuishia pale,ndipo akakutana na producer "lotty pro" ambae aliyegundua kama cindy anakipaji kilichojificha cha Rap music.
Tangu hapo Cindy rulz anajulikana kama one of the "bongo female rappers" ,na anafanya kazi na producer lamar chini ya fishCrab Management.

cindy ametoa nyimbo kama:
  • Number 1
  • party time
  • house party ft king zilla
  • unstopable
  • haterz going down
  • your love
  • next chapter
    Radio feats A.V..I.D .
    Unaweza kizisikiliza na kuzi download kupitia http://www.reverbnation.com/artist/artist_songs/1167957

Jina             :Corrinne Mary Wamwami  
nick name    :  cindy rulz
Birthdate     : jully 1992
Elimu           : shree-hindu mandal sec school (primary and sec)
                       advavce level   shaaban robert

Sounds Like Nicki Minaj., Kanye West Rocks
Label            : Fish Crab Audio Station
Manager      : Lamar Niekamp






cindy akionesha mautundu kwenye u dj



moja ya video mpya ya cindy rulz  RADIO

No comments:

Post a Comment