HUYU NDIYE MSHIRIKI WA BIG BROTHER ALIYETOLEWA KWENYE JUMBA LA
BIG BROTHER AFRICA JULY 29
Mrembo Jannette wa Uganda
amekua mshiriki wa nane kutolewa kwenye Big Brother House upande wa
Upville baada ya kuwekwa kwenye eviction kwa mara ya kwanza ndani ya
star game.
jannete, Lady May, Prezzo na Kyle ndio waliokua kwenye hatari ya kutoka weekend hii ambapo Kyle ndio Mganda pekee aliebaki.
Katika kura zote zilizopigwa
kwa washiriki, Kyle wa Uganda ameongoza kwa kupigiwa kura 6, akafata
Lady May wa Namibia akafata kwa kura 4, Prezzo wa Kenya pia kwa kura 4
na Jannette alipata kura 1, ukitaka kufahamu nchi zilizowapigia kura
zichek hapo chini.
nchi za kenya,tanzania na liberia ndio wanaongoza kwa kumpigia kura prezzo
No comments:
Post a Comment