Friday, July 27, 2012

NEMBO YA AFRICANSON TOUR


 AFRICANSON WAPANIA KU PROMOTE UTALII WA NDANI TANZANIA




C.E.O wa kampuni ya kujitolea ya africanson tanzania Hamisi wahabi  amesema sasa kampuni ina mpango wa kuwahamasisha watanzania juu ya utalii wa ndani "Local tourism"
africanson ni kampuni ya vijana wajasiriamali wa kitanzania wameona kwanza kuiendesha kampuni yao bila profit "non profit company" ili mradi kutangaza utalii wa ndani hapa tanzania. akizungumza na DYDX C.E.O wa kampuni hiyo alisema "kampuni yangu ya africanson nimeianzisha 
kuhamasisha watanzania juu ya kutembelea mbuga zetu za tanzania ,ila tunahitaji tu support ya serikali ambayo imekuwa ikiwa inachelewesha kibali cha sisi kuchukua jukumu hilo nchi nzima " akaendelea   "tumeshafanya tour za kitalii na nashukuru mungu baadhi ya watu wamezipokea tour zetu ,tumefanikiwa kutembelea NGORONGORO ,MANYARA,MATERUNI WATER FALL, TARANGIRE ,ARUSHA SNAKE PARK ,TINGATINGA ART"


C.E.O wa africanson tour akiwa kwenye moja ya tour TARANGIRE NATIONAL PARK


timu nzima ya africanson  wakiwa sehemu za kufanya tafiti za tour zao hapa ni chemka "maji moto "  moshi tanzania mbele ni first lady flora eugene,

No comments:

Post a Comment