ALICHOKIANDIKA MASANJA KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER..
dereva aliyeua watu 25 kwa ajali. Traffic: ilikuaje?. Dereva: nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto,na mtu mmoja kulia, na sina breki. wewe afande ungefanyaje? Trafic.. Ningemgonga yule 1 Dereva..
Ndicho nilichofanya ila huyo mmoja alivuka na kujichanganya na watu wengi akafikiri mimi chizi sijamuona nikamfuata kulekule.
No comments:
Post a Comment